Helpisnextdoor.ca Rasilimali (Swahili)

Sisi ni majirani! Tunaweza kusaidiana!

Tunahitaji kuwa waangalifu na tunahitaji kuwa salama, lakini pia tunahitaji ujasiri wa kusaidiana. Njoo ujiunge nasi tunapojifunza jinsi na helpisnextdoor.ca

Pakua rasilimali kwa kubofya kwenye viungo hapa chini!

Jinsi ya kumsaidia mtu salama

Inakuja Hivi Karibuni!

Mwongozo wa kushiriki chakula salama

Mawazo ifuatayo ni rasilimali inayo changia uongozi ya Huduma za Afya za mkoa wa Alberta zinapendekezwa kwa mikahawa, wahudumu wa vyakula, wataalam wasafishaji, ukiwa mwelekezo wa pamoja unao fatiliwa na kutumika popote ulimwenguni kuhusu ubora wa chakula. 
Changia chakula!

Mawazo ya unganisho salama na sherehe

Inakuja Hivi Karibuni!

Jisajili kwenye jarida letu la barua pepe, Jirani ili kupata sasisho mpya, maoni, hadithi na rasilimali kutusaidia kujali! Jirani ni jarida la Mpango wa Makazi ya Dini ya Edmonton.

Processing…
Success! You're on the list.

“Tunakosa kushiriki chakula na kushiriki maisha na marafiki, familia na majirani. Hii inatusaidia kufanya hivyo tena!”


%d bloggers like this: